ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, June 24, 2014

KATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI Dkt. SHAABANI MWINJAKA AIPONGEZA MAMLAKA YA HALI YA HEWA KWA UTHUBUTU WA KUPAMBANA NA UKIMWI MAHALA PA KAZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Shaaban Mwinjaka akisaini kitabu cha wageni katika Banda la TMA alipotembelea maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Mnazi Mmoja-Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi na wananchi waliotembelea Banda la TMA wakipata elimu juu ya umuhimu wa matumizi sahihi ya taarifa za hali ya hewa zitolewazo na Mamlaka kutoka kwa maofisa wa Mamlaka Bw. Saudy Mwakanosya na Bw. Kantamla Mafuru.
Mdau wa hali ya hewa akipata maelezo kutoka kwa ofisa wa TMA Bi. Judica Mushi wakati wa maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma, Mnazi Mmoja, DSM.

Katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yaliyoadhimishwa kwa kuanzia tarehe 16-23 Juni 2014, TMA ilifanikiwa kuwa moja ya taasisi kumi bora zinazojikita katika mapambano ya UKIMWI mahala pa kazi.

No comments: