KILICHOJIRI KATIKA HITIMA YA MTOTO NASRA RASHID, NI YULE ALIYEISHI KATIKA BOKSI KWA MIAKA MINNE, WATUHUMIWA WASOMEWA BAADA YA KUFIKISHWA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO.
Mwandishi
wa habari wa Mwananchi Communiction ltd Hamida Shariff kulia akishiriki
kuomba dua wakati wa kisomo cha hitima kwa mtoto Nasra Rashid
aliyefariki dunia juni mosi mwaka huu katika hospitali ya rufaa ya
Muhimbili baada ya mateso ya miaka minne ya kuishi katika boksi katika
Manispaa ya Morogoro, kisomo hicho kilifanyika kwenye msikiti wa Mungu
mmoja, dini moja Kiwanja cha Ndege mkoani hapa.
Achilia na tukio
hilo watuhumiwa watatu akiwemo baba yake mzazi wa Nasra, Rashid Mvungi,
mama mkubwa wa Nasra, Mariam Saidi na Mume wa mama Mariam Said
walifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Morogoro kujibu tuhuma za
mashtaka ya kula njama na kumtesa Nasra Rashidi (4) wakati wa uhai
wake.
Hii ni sehemu ya matukio machache ya
picha za matukio kutoka mahakamani na katika shughuli ya kisomo cha
hitima, endelea kutembelea blog yako kuweza kuona kilichojiri.
NPICHA/MTANDA BLOG
No comments:
Post a Comment