KOPLO WA SKETI FUPI WA KENYA APANDA MAHAKAMANI KUTETEA KAZI YAKE
Linda Okella a akimbilia mahakamani baada ya wakubwa zake kutaka kumchukulia hatua ya kinidhamu wakidai alikosa nidhamu ya kikazi alivyovalia sketi fupi iliyoonesha umbo lake akiwa kazini.
No comments:
Post a Comment