ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, June 26, 2014

MABADILIKO YA TAREHE YA UCHAGUZI, DMV

Kamati ya Uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya Watanzania DMV inapenda kuwataarifu kuwa uchaguzi wa Jumuiya utakuwa August 09, 2014 na tarehe ya mwisho ya kulipia ada ni August 7, 2014.
Tunaomba ushirikiano wenu, hii ni tarehe ya mwisho na hakutakuwa na mabadiliko mengine Zaidi. Kamati hii inafanya kila jinsi kuwahudumia wanajumuiya ili kufanikisha uchaguzi huu.

Mambo muhimu ya kuzingatia;
1)    Hakikisha umelipia ada yako ya uanachama: $10 kwa mwezi. Kwa wale waliojiandikisha kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 na kulipa $25 uanachama wako unakoma mwezi wa 7 tahere hiyo hiyo uliyolipia. Ili uweze kupiga kura itakubidi ulipie ada yako kwa mwezi wa 7 na wa 8. Pia unaweza kulipia ada yako ya mwaka kwa mara moja. Tembelea tovuti ya jumuiya http://watanzaniadmv.org/membership.asp ina maelezo ya kufanya malipo au wasiliana nasi uchaguzi2014@gmail.com

2)    Tutaendelea kuwaeleza utaratibu wote wa upigaji kura katika siku zakaribuni, tunawatakia kila la heri wagombea wote wa uongozi wa jumuiya yetu.



USIJINYIME HAKI YA KUCHAGUA VIONGOZI WAKO KWA KUTOKUWA MWANACHAMA HAI. HAKIKISHA UNALIPIA ADA YAKO ILI UWEZE KUPIGA KURA.

2 comments:

Anonymous said...

THIS IS REAL JOKE!!!!! WHAT HAPPEN WITH ELECTION BOARD? SEEMS LIKE CAN'T DO THE JOB. DOESN'T MAKE ANY SENSE KEEPING CHANGE THE ELECTION DATE. YOU ALL IN TO RESIGN AND LET HAVE INTERIM COMMITTEE TO LEAD JUMUIYA UNTIL NEXT YEAR. OUR CONSTITUTION ALLOWED THAT. DMV RAISE UP FOR OUR COMMUNITY. THIS ELECTION ALREADY BEING SABOTAGED

Anonymous said...

WANA DMV EBU ANGALIENI TIMU LIBE KAMPENI MENEJA WAKE DOTO ANAVYOTUKANA KATIKA BLOGU YA LE MUTUZ HAPO:


http://www.williammalecela.com/2014/06/le-mburulazz-huu-ni-ujumbe-wa-super.html?m=1




Thursday, June 26, 2014




LE MBURULAZZ HUU NI UJUMBE WA SUPER MBURULAZZ KUTOKA KWA MPAMBE WA MGOMBEA UONGOZI WA JUMUIYA HUKO MBELEZZ DMV/USA TO MY PHONE SOMA MWENYEWE LIVE!! SUPER MBURULAZZ!!








<+1 240 838 2828

.....Habari lemutuz, my name is Daniel naishi dmv nimeambiwa kwamba your blog is hot sana so naomba unirushie tanzangazo la uchaguzi wa jumuia dmv http://lukemusicfactory.blogspot.com/2014/06/urais-dmv-usa-liberatus-mwangombe-libe.html?=1
Thanks for your time
Regards
Daniel
yesterday, 6.30PM


....Yooh
2:29PM

Lemutuz acha Useng... K....ma wewe
5.10PM

...Haya Kaka ngoja niweke kwenye blog thanks bro
5:15 PM

....Mbona huweki hayo matusi, if you stayed in America that shouldn't be any crime. It's a first amendment of our constitution ....freedom of speech so get lost little fucka@
5:30PM

- So you see this is why nimesema I want nothing to do na this foolishness, just imagine kwamba haya maneno very low and foolish yameandikwa na mbongo anayeishi Marekani, Masikini wa Mungu ametoka hapa bongo kwenye njaa na shida familia yake wanategemea aje awasaidie kwa kupata elimu ya Majuu yeye haya matusi ndiyo aliyojifunza huko Mbelezz na anayatetea kwamba ni freedom of speech, ha! ha! ha! ha! ha! ha! ha! So please wewe Bwana Liberatus Mwang'ombe unayegombea uongozi huko na kupigiwa debe na huyu Super Mburulazzzz please holla at me +255 717 618 997 with an apology cause this is uncalled for na kama kweli una marafiki wa karibu kama huyu mburulazzz what does it says about you? Sad indeed!! ha! ha! ha! ha! ha! siku hizi huko majuu wamejaa a lot of Super Mburulazzzz U know!!

Le Mutuz Big Show


at Thursday, June 26, 2014



JAMANI DMV KWELI HAO NDIO TIMU LIBE WANATAKA KUTUONGOZA HAPA DMV.