Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akifuatana na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Ndugu
Ahmed Kipozi wakitembelea eneo linalojengwa hospitali ya watoto itakayo
kuwa na uwezo wa vitanda 500 katika kijiji cha Zinga huko Bagamoyo
tarehe 10.6.2014.PICHA NA JOHN LUKUWI.
Mke wa
Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma
Kikwete akisalimiana na Rais wa Shirika la International Health
Partiners (IHP)-JEMA Tanzania, Mama Mary Ellen Kitundu mara baada ya
kuwasili katika kijiji cha Zinga huko Bagamoyo, mkoani Pwani. Mama Salma
alikwenda kijijini hapo kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi la hospitali
ya watoto inayojengwa na Shirika la IHP-JEMA Tanzania tarehe 10.6.2014.
Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi huo Dkt. Jesse Kitundu.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa
serikali, shirika la IHP-JEMA Tanzania na viongozi wa Kijiji cha Zinga
mara baada ya sherehe ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya
watoto kijijini hapo tarehe 10.6.2014.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akipanda mti kwenye eneo linalojengwa hospitali
ya watoto katika kijiji cha Zinga wilayanI Bagamoyo mara baada ya kuweka
jiwe la msingi tarehe10.6.2014.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akifungua kitambaa kuashiria uwekaji rasmi wa
jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya watoto katika Kijiji cha Zinga
huko wilayani Bagamoyo tarehe 10.6.2014. Kushoto kwa Mama Salma ni Mkuu
wa Wilaya ya Bagamoyo Ndugu Ahmed Kipozi.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na wageni waalikwa na wananchi wa
Kijiji cha Zinga wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la
hospitali ya watotot itakayokuwa na uwezo wa vitanda 500 tarehe
10.6.2014.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na wageni waalikwa na wananchi wa
Kijiji cha Zinga wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la
hospitali ya watotot itakayokuwa na uwezo wa vitanda 500 tarehe
10.6.2014.
Baadhi ya
wananchi kutoka katika kijiji cha Zinga na wageni waalikwa kwenye
sherehe ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya watoto
wakifurahia jambo wakati mgeni rasmi MamaSalma Kikwete alipokuwa
akizungumza kabla ya kuweka jiwe la msingi la hospitali hiyo.
No comments:
Post a Comment