Baadhi
ya waumini wa dini ya kiislamu msikiti mkuu wa Ijumaa Gongoni mjini
Tabora wakati wa tukio la kuvunjwa milango ya msikiti huo unaodaiwa
kufungwa na baadhi ya viongozi walioondolewa madarakani na Sheikh Mkuu
wa Tanzania Mufti Shaaban Issa Simba kwa madai ya kukiuka utaratibu wa
Baraza kuu la Waislam Tanzania Bakwata,ambapo Mufti aliongoza tukio la
kuvunja milango ya msikiti huo jambo ambalo lilipingwa vikali na baadhi
ya waumini wanaowaungamkono viongozi waliosimamishwa akiwemo Sheikh mkuu
wa mkoa wa Tabora Shaban Salum. |
No comments:
Post a Comment