Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Aziz Abood
Abood
| Kaimu Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Ally Omar akihojiwa na Mtandao huu muda mfupi uliopita. |
Na DustanShekidele, Morogoro.
MBUNGE wa Jimbo la Morooro Mjini (CCM) Aziz Abood amejitolea kumsomea hitima marehemu Nasra Mvungi Jumamosi ya wiki hii.
Akizungumza na
Mtandao huu kwenye mahojiano maarumu muda mfupi uliopita Kaimu Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Ally Omar amethibitisha kufanya kikao na katibu
wa mbunge huyo.
No comments:
Post a Comment