KAMERA yetu mchana huu imenasa Bajaj iliyokuwa ikiendeshwa na mlemavu ambapo iligonga gari kubwa wakati inarudi nyuma maeneo ya Posta mtaa wa Samora jijini Dar ambapo mwenye gari alitaka alipwe 20,000/= kwa matengenezo ya gari lake.
Kwa vile mlemavu hakuwa na fedha hiyo, wasamaria wema walimchangia na kulimaliza suala hilo
No comments:
Post a Comment