ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 6, 2014

Muangalie T.I Alivyoongea Kiswahili Kuhusu Ugomvi Wake Na Mayweather

Ni muda wa kuendelea kuipigia debe lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwa kuwa inazidi kukubalika na kutumika nje ya nchi na watu ambao labda usingewategemea.
TI AND MAYWEATHERT.I ameingia katika rekodi ya wasanii wakubwa wa
Marekani waliowahi kuongea maneno ya Kiswahili katika wakati ambao hautarajiwi.
T.I amefunguka kwa Kiswahili alipokuwa akifanyiwa mahojiano na TMZ tena barabarani kuhusu ugomvi wake na Mayweather.
Jamaa hakutaka story zozote kuhusu ugomvi huo na kumwambia jamaa kuwa kila kitu kiko poa yaani Hakuna Matata.
‘Hakuna Matata’ that means everything is wonderful for the rest of your days.’

No comments: