Adha Ponda dada wa marehemu akiangua kilio
Gari la marehemu likifunikwa baada ya ajali jana usiku
Canter ambayo gari la marehemu liliigonga
Gari la marehemu GX 100 baada ya ajali
Gari la marehemu kwa nyuma
Marehemu Katoto enzi za uhai wake.
NA DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO
MUDA
huu mtandao huu umefanikiwa kuzungumza na mdogo wa marehemu Bw Hashimu
Ponda ambaye amezungumzia kifo cha kaka yake kwa kuseme.
"Kaka baada
ya kutoka nyumbani kwa mama akiwa njia kuelekea nyumbani kwake Kihonda
alipata ajari eneo la kona ya Polster Klabu kihonda maghorofani chaajbu
baada ya gari lake kupindukan liliangukia kwenye matofari na baadae
kwenye kifusi cha mchanga ambacho kilimrifti kaka hadi juu ya Canter
iliyosimama na kufika hoko kaka alichomoka kupitia kioo cha mbele hadi
juu ya nyaya za umeme na kuangua kicha akiwa tayari alishakufa"alisema
Hashim ambaye pia ni dereva wa kiwanda cha nguo cha Polyester.





No comments:
Post a Comment