Friday, June 27, 2014

VIDEO:MWIGULU AAPA KUPAMBANA NA MANUNUZI YA MAGARI YA KIFAHARI SERIKALINI


2 comments:

  1. Utapambana nao kivipi? kwani sheria inasemaje? Populist politician

    ReplyDelete
  2. Kama vigogo hao hutumia VX au mashangingi kisheria anza kwanza kuondoa sheria hizo kibunge vinginevyo bwana machemba migullu unatafuta umaarufu kisiasa. Pia mimi nakupongeza kwa msimamo wako na usimamizi mzuri na hoja zenye nguvu. Unachakalika kuliko hata waziri wako.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake