ANGALIA LIVE NEWS

Friday, June 27, 2014

VIDEO:MWIGULU AAPA KUPAMBANA NA MANUNUZI YA MAGARI YA KIFAHARI SERIKALINI


2 comments:

Anonymous said...

Utapambana nao kivipi? kwani sheria inasemaje? Populist politician

Anonymous said...

Kama vigogo hao hutumia VX au mashangingi kisheria anza kwanza kuondoa sheria hizo kibunge vinginevyo bwana machemba migullu unatafuta umaarufu kisiasa. Pia mimi nakupongeza kwa msimamo wako na usimamizi mzuri na hoja zenye nguvu. Unachakalika kuliko hata waziri wako.