ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 14, 2014

Aliyekuwa mkurugenzi TPA Ephraim Mgawe na mwenzake wapandishwa kizimbani.


Aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA), Ephraimu Mgawe na msaidizi wake, wamefikishwa katika mahakamani wakikabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka kwa kusaini mkataba wa kuipa kazi kampuni ya ujenzi ya China communications Ltd bila kutangaza zabuni

No comments: