Advertisements

Monday, July 21, 2014

AYA NDIYO YATAKUKUTA UKIKATIZA SEHEMU YENYE KAMBI YA JESHI KAMA WEWE NI RAIA

Ndugu yangu usiombee afande Marwa, Wambura, na Chacha wakuite baada ya kupita eneo la jeshi  lenye kibao kinasomeka"ni marufuku kwa raia kupita eneo hili la jeshi" na kibao chenyewe kimeandikwa kwa maandishi mekundu kwenye ubao mweupe. Hii ndiyo sagarumba utakaekumbana nayo kama ilikuwa asubuhi una hang over au mchana umekula wali wa mama nitirie ndio utajua kwanini jeshi la Tanzania limetawaliwa na akina afande Wambura. Habari ndiyo hii

No comments: