ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 16, 2014

Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhehsimiwa Omar Mjenga, ashiriki pamoja na Mabalozi Wadogo wenzie kwenye hafla ya Daku (Sohour

 Balozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhehsimiwa Omar Mjenga, ashiriki pamoja na Mabalozi Wadogo wenzie kwenye hafla ya Daku (Sohour) iliyoandaliwa na Ajman Chambers of Commerce katika Hotel ya Palm.
Mheshimiwa Mjenga akiwa na baadhi ya Mabalozi Wadogo wenzie kutoka Uzebkistan na Kyrgystan
Mheshimiwa Mjenga akiwa na Mkuu wa Huduma wa Ajman Chambers of Commerce Bw. Abdulla Abdulmushen Al Nuaimi (mwenye kanzu) na Mtaalamu wa Utekelezaji Miradi Bw. Eltayeb Osman Yousef, ambaye ni raia wa Sudan.

1 comment:

Anonymous said...

Huku Dubai hakuna balozi kamili? Kila siku ni matangazo ya balozi mdogo, balozi mdogo what are you trying to achieve?