ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 24, 2014

BONDIA IBRAHIMU MAOKOLA AJIFUA KUMKABIRI SELEMANI MKALAKAL AGOUST 9 AMENYA PUB MBAGALA

Bondia Ibrahimu Maokola akijifua Okaido GYM iliyopo Mbagala Charambe kwa ajili ya kujitaharisha na mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Selemani Mkalakala mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub uliopo mbagala augoust 9 

Bondia Ibrahimu Maokola akifanya mazoezi ya kuimalisha misuli ya tumbo kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Mkalakala litakalofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub uliopo mbagala siku ya ya augoust 9
Bondia Ibrahimu Maokola akijifua Okaido GYM iliyopo Mbagala Charambe kwa ajili ya kujitaharisha na mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Selemani Mkalakala mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub uliopo mbagala augoust 9 
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa kupiga ngumi na Ayubu Tezikoma wakati wa mazoezi yake kwa ajili ya kujiandaa kupambana na Selemani Mkalakali mpambano wa ubingwa raundi kumi utakaofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub Augost 9 

Bondia Ibrahimu Maokola
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akipiga beg kubwa kwa kusimamiwa na Athumani Magambo wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wake na Selemani Mkalakali litakalofanyika Augoust 9 katika ukumbi wa Amenya pub mbagala 
IBRAHIMU MAOKOLA WA TATU KULIA AKIWA NA WADAU WA MCHEZO WA MASUMBWI WALIOPA KATIKA GYM YA OKAIDO MBAGALA CHARAMBE

No comments: