Magari yakipita chini ya daraja la watembea kwa miguu eneo la Kimara, Nitafauti na Ulaya kwani Ulaya barabara nyingi za juu ni kwa magari kuepusha foleni lakini Dar es Salaam ni kwa watembea kwa miguu kutoka upande mwingine wa barabara kwenda upande mwingine, kivuko daraja hiki kimejengwa na Kampuni ya Ujenzi ya Strabag eneo la Kimara katika mradi wa ujenzi wa barabara za mabasi yaendayo Kasi Dar es Salaam.
1 comment:
Kwa wingi wa magari yaliopo Dar es Salaam nilitegemea kuwa Serikali ingeweka three lane-one way katika barabara kubwa,hii ingesaidia kupunguza foleni kwa miaka kadhaa ijayo.Kwa mwendo huu wa two lane -one way tutajikuta tunarudi kuwabomolea wananchi nyumba zao na kuwalipa fidia kubwa muda si mrefu .
Post a Comment