Ustadh Mohammed Mabenzi, Salum na Deddy wakiwa wakipata kifungua kinywa na kubadilishana mawazo
Wageni waalikwa wakifurahia mila na tamaduni za wengine kama wanavyooneka
Ismail Mwilima akitoa smile kuhakikisha anakuwa imara mbele ya ukodak
Meya wa DC Saleh Mohammed akiwa na Uwesu Bakar baada ya kupata mnuso wa futari pamoja na wana DMV wenzao
Mawaidha yakiendelea kwa masheikh kutoka Philadelphia walioletwa na Sheikh Omar kabla ya futari kuanza
Kwa makini, chini na juu, wana DMV wakifutilia mawaidha yaliokuwa yakitolewa na masheikh waalikwa
No comments:
Post a Comment