Advertisements

Tuesday, July 29, 2014

EID EL FITR UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA

Waumini wa dini ya kiislamu mjini Iringa wakiwa katika ibada ya idd uwanja wa Samora leo
Ibada ya idd ikiendelea katika uwanja wa Samora mjini Iringa leo
Waumini wa dini ya Kiislam Iringa wakiwa katika ibada.

No comments: