ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 14, 2014

HARUSI YA YUSUF SHALITA NA CHRISTABELLA GUMBO, MINNESOTA

Bwana harusi Yusuf Shalita akipozi kwenye picha siku ya Jumamosi July 12, 2014 siku ya harusi yake na Bi. Christabella Gumbo iliyofanyika St. Paul, Minnesota na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki
Bi harusi Christabella Gumbo akipozi kwenye picha siku ya Jumamosi July 12, 2014 siku ya harusi yake na Bwn Yusuf Shalita iliyofanyika St. Paul, Minnesota na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki
Bwana na Bi harusi wakipata picha ya pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Bwana na Bi harusi wakipata picha ya pamoja na wasimamizi wa Bi. harusi
Bwana na Bi harusi wakipata picha ya pamoja na wapambe wa Bwana harusi.
Bwana na Bi harusi katika picha ya pamoja na wapambe wa Bi. harusi.
Bwana na Bi. harusi katika paicha ya pamoja na wapambe wao
kwa picha zaidi bofya soma zaidi

6 comments:

Anonymous said...

Harusi imependeza sana

A.Twangi said...

Belaaaaa!Beautiful girl...!
You deserve the beautiful veddinggg!

May Allah bless you with many years of hapinesss.

Mwaaaa!

Am sooooo happy!

A.twangi

Anonymous said...

Wow!!!!! Mmependeza saaaaaaanaa!!!!!Congratulations to a beautiful couple.........God bless you.

Anonymous said...

Seems like this was a vintage wedding,remind me of 1990's weddings.

Anonymous said...

Pendeza Bella umenogajeeee

Anonymous said...

PENDEZA MAMA ALMENDE