Advertisements

Monday, July 28, 2014

LEBRON JAMES KUVAA JEZI NAMBA 23

Mchezaji wa kikapu mwenye jina na mbwembwe nyingi Lebron James amesema atarejea kuavaa jezi namba 23 aliyokuwa akivaa wakati akiitumikia Cleveland Cavaliers siku za nyuma kabla hajajiunga na Miami Heat ambako alikua akivaa jezi namba 6 na hii nikutokana na alipoposti Instagram yake na kuwaulinza mashabiki wake kwamba ni jezi namba ngapi wanayotaka avae msimu ujao na mashabiki waliopata kura nyingi ni wale wa namba 23.

No comments: