ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 4, 2014

LEO NI SIKU YA UHURU WA NCHI YA MAREKANI

Tarehe 4 July kila mwaka wananchi wa Marekani husherehekea siku ya Uhuru wa nchi yao. Walipata uhuru wao mwaka 1776 toka kwa Mwingereza  na Rais wa Kwanza wa Marekani kuchukua madaraka alikua ni George Washington.

Siku hii hujulikana zaidi kama siku ya familia ambapo familia nyingi hukutana na kufanya piknik na nyama choma na watu wengi hueka bendera ya Marekani nje ya nyumba zao zikiwemo jumuiya mbalimbali na baadae hulipua fataki mida ya usiku

Bofya soma zaid upate majina ya Marais wa Marekani tangia walipapata Uhuru

18th Century

1. George Washington2. John Adams

19th Century

3. Thomas Jefferson15. James Buchanan
4. James Madison16. Abraham Lincoln
5. James Monroe17. Andrew Johnson
6. John Quincy Adams18. Ulysses S. Grant
7. Andrew Jackson19. Rutherford B. Hayes
8. Martin Van Buren20. James Garfield
9. William Henry Harrison21. Chester A. Arthur
10. John Tyler22. Grover Cleveland
11. James K. Polk23. Benjamin Harrison
12. Zachary Taylor24. Grover Cleveland
13. Millard Fillmore25. William McKinley
14. Franklin Pierce

20th Century

26. Theodore Roosevelt35. John F. Kennedy
27. William Howard Taft36. Lyndon B. Johnson
28. Woodrow Wilson37. Richard M. Nixon
29. Warren G. Harding38. Gerald R. Ford
30. Calvin Coolidge39. James Carter
31. Herbert Hoover40. Ronald Reagan
32. Franklin D. Roosevelt41. George H. W. Bush
33. Harry S. Truman42. William J. Clinton
34. Dwight D. Eisenhower

21st Century

43. George W. Bush44. Barack Obama

No comments: