ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, July 16, 2014

MAANDILIZI YA SHOW YA MTOANI KATIKA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) YAKAMILIKA, SHOW KUANZA SAA MBILI USIKU

 Jukwaa kama linavyoonekana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jukwaa hilo ni jukwaa litakalotumika katika Show ya mtoano leo kwa Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents(TMT). Leo ni Wiki ya Pili ya Mtoano ambapo washiriki wengine watachomwa na jua la Utosi na kuaga mashindano na wengine kuendelea kuchomwa na Jua hadi pale Watazamaji watakapowaokoa.
 Jukwaa likiwa tayari kwa Kutumika hapo baadae
Sehemu watazokaa washiriki wa Tanzania Movie Talents (TMT) leo 

No comments: