Wizara ya afya na ustawi wa jamii idara ya tiba imeondoa mabango ya waganga wa tiba asilia na tiba mbadala zilizozagaa katika manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam zikipotosha wananchi kwa kujinadi kutibu magonjwa mbalimbali na kusababisha uchafuzi wa mazingira.
No comments:
Post a Comment