Kama ilivyotokea kwa msanii nyota wa kike wa bongo fleva, Rehema Chalamira 'Ray C' kuingizwa katika matumizi ya dawa ya kulevya na mtu ambaye alitokea kumwamini sana, ndivyo ilivyotokea sasa kwa msanii anayefuata nyendo zake,Winfrida Josephat 'Rachel' ambapo anadaiwa kuvutishwa unga bila kujua....
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha karibu na msanii huyo,Rachel amewekewa dawa hizo kupitia kwenye bangi na wakati mwingine kwenye sigara hivyo inakuwa vigumu kubaini hila iliyofanyika....
Habari ambazo tumezipata zinadai kwamba msanii wa kiume nyota wa bongo fleva ambaye amewahi kutuhumiwa kutumia dawa za kulevya ndiye anayemtengenezea kokuteli hiyo inayotarajiwa kumwangamiza siku za usoni....

3 comments:
wanataka kumuharibu kama walivyomuharibu ray c pole sana rachel ka sana na mungu muuabudu sana yeye ndo atakaye kutoa katika janga hili na nenda kamfute ray c atakuongoza .wameona unamfuta nyayo zake ray c wakuimba na maadui zake sasa wanakufuata wewe, binadamu wabaya nyinyi waone hivi hivi

Kwanini Rachel anavuta bangi?
Kosa lake mwenyewe. ungesema kawekewa kwenye soda au maji ningekuelewa. Sasa ujinga gani huo wa kuvuta bangi?
Post a Comment