Advertisements

Thursday, July 24, 2014

Misa ya Kiswahili - Uhuru na Kuiombea Marekani, July 27, 2014

Wapendwa Wote, 
Mnakaribishwa sana kwenye ibada ya misa takatifu ya lugha ya kiswahili kwa nia kusheherekea uhuru na kuiombea Marekani.
Ibada itafanyika katika kanisa takatifu katoliki la Mtakatifu Edward (St Edward Parish)
901 Poplar Grove St, Baltimore, MD 21216, Phone: (410) 362-2000
Tarehe 27 July 2014. Saa nane kamili mchana (2:00 PM).
Karibuni sana na unaombwa uwataarifu na kuwakaribisha ndugu, marafiki na jamaa zako.
Kwa wenye blogu na mitandao ya mawasiliano mnaombwa mpeperushe mwaliko huu.
Asante sana ni katibu Dani Steven kwa niaba ya Baba Paroko, Padri Evod Shao

No comments: