Advertisements

Wednesday, July 30, 2014

MKONO WA EID

Bwana Nassor Basalama kwa niaba ya JENGA TANZANIA FOUNDATION, anapenda kuwatakia nyote mkono wa Eid na Baraka zake. M/Mungu awape upenda na mshikamano katika mambo ya kijamii na yenye manufaa. Atuzidishie Imani na upenda kwa watoto na kinamama, hususan wale wenye maisha duni.

No comments: