ANGALIA LIVE NEWS

Friday, July 11, 2014

Moto umeteketeza mabanda ya wafanya biashara Dodoma.



Moto mkubwa umezuka na kuteketeza zaidi ya vibanda 63 vya wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama machinga katika eneo la Jamati manispaa ya Dodoma na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha kwa wafanyabiashara hao huku chanzo cha moto huo kikishindwa kufahamika mpaka sasa.

No comments: