Advertisements

Tuesday, July 15, 2014

MR AND MRS. G MSUYA WAMEREMETA

 Nsendo Mboma siku ya harusi yake na bwana Msuya wakiwa mbele ya keki yao ya harusi.

 Bwana na bibi wakikata keki kwa pamoja kama ishara ya upendo, timu ya vijimambo inawatakia maisha yenye upendo, furaha na afya njema kwenye ndoa yenu.

No comments: