Advertisements

Tuesday, July 22, 2014

MTOTO WA JULIANA KUZIKWA IJUMAA

Keron Raphael Kabugo,miaka 11, mtoto pekee wa mwanamuziki kutoka Uganda, Juliana Kanyozi atazikwa siku ya Ijumaa Matuga, Kiryagonja saa 8 mchana.

Mtoto Keron aliyefariki mapema Jumapili asubuhi katika hospitali ya Agakhan mjini Nairobi, nchini Kenya kwa Asthma. Mwili wa mtoto Keron utasafirishwa leo Jumanne July 22, 2014 jioni kwa ndege ya Kenya Airways na baadae kupelekwa nyumbani kwa baba yake Amon Lukwago kwenyemji wa Kawuku uliopo pembezoni mwa mji wa Kampala.

Siku ya Ijumaa July 25, 2014 asubuhi kutafanyika ibada ya katika kanisa la Mt. Nakasero.

Keron ni mtoto wa Juliana Kanyozi aliyezaa na mfanyabisahara Amon Lukwago ambao hawapo pamoja hivi sasa.

1 comment:

Anonymous said...

Hukutoa link ya libe ya endorsement kwenye facebook kutoka kws joe leo hii tume notice that baada ya kuambiwa leo,unazidi kumkandamiza wazi people they will get tired eventually