ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 12, 2014

MTOTO:EEH MUNGU NISAIDIE

Salum Kassim yupo hai.

Tunaomba radhi kwa kuchanganya habari za kifo cha mtoto aliyevunjwa mguu ambaye tulimuandika katikaGazeti la Risasi la leo Julai 12, 2014 na badala yake tumetangaza kuwa aliyefariki ni mtoto Salum Kassim. Huyo mtoto yupo hai na tunasikitika sana kwa kujichanganya huko. Tunaomba radhi pia kwa wazazi wa Salum na tupo pamoja katika kuhakikisha anapatiwa tiba katika harambee zetu. Tunaombaaendelee kuchangiwa.

No comments: