Advertisements

Wednesday, July 23, 2014

MWILI WA MTOTO KERON WAWASILI UGANDA

 Mwili wa mtoto wa mwanamuziki wa Uganda Juliana Kanyomozi ukishushwa kutoka kwenye ndege ya Kenya Airways iliyoleta mwili huo wa mtoto Keron aliyefariki siku ya Jumapili nchini Kenya kwa Asthma
 Ndugu, jamaa na marafiki waliokuwepo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe kwa ajili ya kuupokea mwili huo.
Mwili wa mtoto Keron ukipakiwa tayari kupelekwa sehemu ya kihifadhia maiti kwenye mji wa Bukoko. Picha kwa hisani ya Red Pepper

1 comment:

Anonymous said...

Pole sana mama. Mungu akutie nguvu. Praying for you!