NI KWELI CHEMBE CHEMBE ZA MAPENZI UANZIA UTOTONI?
Kama wewe ni mzazi ungefanya nini kama ungewakuta watoto wakiwa kwenye hii hali unafikiri walikuwa wanaelewa wanachokifanya kina maana gani, Na hata kama ungeamua kutoa somo kwao unafiki wangekuelewa?.
3 comments:
ni kweli mapenzi yanaanza toka utotoni na toka huko kwenu ulivyolelewa kama hakuna decipline ya wazazi wakiona mama mchepuko hajulikani baba ndo nani kila leo mchepuko tu mama na wattoto wanaona design za mama wadogo haziishi basi na wao wanajifunza hapo hapo lakin kwenye nyumba imara yenye baba na mama watoto watakuwa na uoga wataanza kwa mbali kujificha siku hizi kila kitu wazi wazi na kuwafuata maadili ya ughaibuni unambusu mkeo mbele za watoto unamshika shika etc unadhani watoto hawatofuata kwanini msiyafanyie chumbani kwenye faragha.
watoto wa aina hii hata ukiwafuma ukiwakanya hawatokukuelewa ila nyumba iwe na nidhamu watoto wasione mambo ya mapenzi ya baba na mama au michepuko ya mama na baba single mom and dad wakiona na wao wazazi wakitoka nyumbani huwa wanaigiza.
kwa mimi watoto wangu nitawakanya kwa elimu ya hali ya juu kutokana na kiwango chao cha uelewefuu na kujitahidi kutokuwaonyesha tabia za mapenzi yasio na adabu mbele yao
Piga bakora tabia mbaya wanahanza bada viji toto
tabia mbaya wapi wewe,watoto wanajifunza toka kwa wazazi wao na jamii inayowazunguka. mkiwa na tabia mbaya na wao pia watakuwa na tabia mbaya.
wache wale raha zao za utotoni huenda ukubwani wakazikosa kwa majanga ya dunia.
Post a Comment