Video ya Nyumba tatu zilivyoteketea kwa moto Mwananyamala.
Nyumba tatu zimeteketea kwa moto katika eneo la Mwananyamala "A" karibu na hospital ya Mwananyamala ambapo chanzo cha moto huo ni hilafu ya umeme iliyoanzia katika moja ya maduka yalipo katika nyumba hizo.
1 comment:
Anonymous
said...
hii ni aibu kubwa kwa Tanzania kushindwa kudhibiti moto kama huu kwenye nyumba ndogo tu ya chini!!Je tunatarajia nini kwenye mijengo ya gorofa 15-20 zinazoibuka huko mijini bila hata kufikiria mkondo wa maji na mabomba ya kuzunganishia zingatia maji yenyewe kwenye hiyo mijengo hayawezi panda hadi juu na si ajabu hakuna kabisa. Miundo mbinu hovyoo. Tunaelekea wapi hadi wananchi wabebe maji kwa ndoo kuzima moto haya ni majanga jamani serikali mko wapiii??

Post a Comment