Diamond katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Mhe. Ahmed Issa (kulia) na Innocent Batamula(Safari Ent) siku Mwanamuziki huyo wa Bongo Flava alipofanya show jijini LA California.
Juu na chini ni mwanamuziki wa kizazi kipya anayekimbiza kwa sasa hadi anga za kimataifa Diamond Platnumz akifanya makamuzi siku ya Jumamosi June 28, 2014 jiji Los Angeles, CA.
Masahabiki wakichanganyikiwa wakati Diamond Platnumz akifanya makamuzi ya nguvu.
Mlimbwende wa Los Angeles California akipagawa na Diamond Platnumz siku ya Jumamosi alipofanya makamuzi jiji hilo la mastaa
Diamond Platnumz akifanya makamuz makali sana ndani ya jiji la Los Angeles.
Walimbwende wakishindwa kujiuia furaha yao mbele ya mwanamuziki Diamond Platnumz
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
1 comment:
some clothes zina age zake jamani!
Post a Comment