ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 7, 2014

PITA PITA YA VIJIMAMBO MONTAUK NEW YORK

 Montauk  Point Lighthouse ni museum iliyopo Long Island.NY ni museum iliyojenga juu ya mlima na unaweza kuangalia usawa wa bahari. Jengo hili limejengwa mwaka 1797 na sasa utumiwa kama museum. Hapa ndiyo kilikuwa kitua kikubwa cha watumwa kutoka Africa na kisha kutawanya sehemu walizoitajika kwa hapa Marekani.
Taa hii ndiyo ilikuwa alama ya meli zote zilizokuwa zinaleta watumwa kutoka Africa, taa hii ikiwaka inauwezo wa kuonekana umbali wa maili 20 kutoka usawa wa bahari.

Unaweza kuona mnara wenye urefu wa M 111 na wenye hiyo taa iliyokuwa inaongoza meli zilikuwa zimewabeba watumwa kutoka Africa kuingia America.
Dr Temba na mke wake pamoja na marafiki zao walivyotembea museum hiyo ya Lighthouse

No comments: