Advertisements

Tuesday, July 15, 2014

"SELFIE" NDANI IKULU HII HAPA LIVE BILA CHENGA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa filamu na muziki kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni na Terrence J.


Jenkins, mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment (wa pili kulia) Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records (wa pili kushoto) na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.

1 comment:

Anonymous said...

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Huu ni ukweli usiofichika kuwa Raisi Kikwete katika kipindi chake cha uongozi amejitahidi sana kuisaidia tasnia ya michezo na sanaa nchini,kuanzia alivyoisaidia Taifa stars wakati ule na mpaka sasa anvyoendelea kuwasaidia wasanii.