TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI NA WATANZANIA WOTE
Ndugu Wanahabari
Hivi karibuni viongozi wa vyama mbalimbali vya wafanyakazi pamoja na mamlaka ya kusimamia mifuko ya hifadhi ya jamii (SSRA), Wametoa matamko yanayokinzana juu ya mifuko ya jamii kwa wafanyakazi.

Ndugu
wanahabari
Taarifa hiyo yenye kukinzania iliripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari, likiwamo gazeti la Nipashe la Julai 24, 2014 ukurasa wa kwanza na watano, ambapo Nicholas Mgaya, Katibu Mkuu wa TUCTA;Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania alikaririwa akisema wamepeleka mapendekezo serikalini juu ya kutaka mifuko mingine iwe karibia au sawa na LAPF au PSPF. Wakati Mgaya anasema hivi, Gratian Mkoba Rais wa CWT; Chama cha Walimu Tanzania na Boniface Nkakatisi, Katibu Mkuu wa TUICO, alinukuliwa akisema Serikali na SSRA wanamapendekezo juu ya kupunguza 30% kutoka 50% ya mafao kwa LAPF na PSPF.

SSRA, kwa upande wao wanakana kuwepo kwa waraka wowote juu ya hilo, huku wizara yenye dhamana na hili (wizara ya kazi na Ajira) imekaa kimya. Kwa mujibu wa sheria na taratibu za kusimamia maslahi ya wafanyakazi, hawa wanao kinzana ni watu waliopaswa kuwa na majibu sahihi juu ya hili. Kwani hadi sasa wafanyakazi hawana majibu yanayoeleweka.

Kwa mujibu ya sheria ya usimamizi wa mifuko ya jamii sheria namba 8 ya mwaka 2008, kifungu cha 25 (1) SSRA ndiyo wana mamlaka ya kutoa viwango vya ulipaji wa mafao na kusimamia viwango hivyo pamoja na Serikali. Kama wao wakiwa hawajui na Serikali ikikaa kimya wafanyakazi wakimbilie wapi?. Wafanyakazi wanahitaji Taarifa sahihi juu ya mafao yao.

Nimekuwa nikipokea simu na jumbe nyingi kutoka kwa wafanyakazi wakiomba kutolewe tamko linaloeleweka ili wajue ukweli ulivyo. Ifahamike kuwa kupigania haki na maslahi thabiti ya wafanyakazi bila woga ni kipaumbele change namba moja kama Rais mtarajiwa wa TUCTA.

Nitoe rai kwa waajiri wote Tanzania, watoe mikataba ya ajira kwa wafanyakazi wao, hii ni kwa mujibu Sheria ya ajira na mahusiano kazini namba 6 ya Mwaka 2004, hasa makampuni ya kigeni, ya wazawa na hata Serikali, waajiri timizeni wajibu wetu tafadhali.

Tunatoa tamko na kulaani vitendo vya waajiri kutowatendea haki wafanyakazi wao kwa kutowasajili kwenye mifuko ya jamii au kutofikisha makato yao. Hii ni kinyume cha kifungu cha 30 Sheria ya Usimamizi wa Mifuko ya Jamii, kinaeleza kwa kiingereza

No comments:
Post a Comment