SIYO NDEGE HII NI BASI LA COMPANY YA RATCO DAR TANGA SASA NI MWENDO WA SHAAAAAAAAAAH
Unakaa kwenye seat yako na tv yako menyewe kama uko kwenye boeing vile kazi kwako na barabara zetu za Magufuli za line mbili speed 120 kazi hipo na ukichanganya na madereva wetu waliotumiwa License kwa njia ya Mpesa mungu mkubwa.
5 comments:
Anonymous
said...
Na ustaarabu uwepo maana ni siku mbili tu Tv zimimeng'olewa na basi lenyewe alitamaniki.
Shughuli itaanzia kwa mwenye basi mwenyewe atakapoingia tamaa ya kupakiza watu wengi kuliko idadi ya viti, na hapo itabidi hizo screen zihamie stoo, then afanye modification ya viti kibongox2..
5 comments:
Na ustaarabu uwepo maana ni siku mbili tu Tv zimimeng'olewa na basi lenyewe alitamaniki.
Sasa hilo boksi limefuata nini humo ndani ya basi? Ina maana hakuna sehemu nyingine ya kutunzia mizigo zaidi ya ndani ya basi? Makubwa.....
tebga langu la kuku nitaliweka awapi?
Kwa bei zao wale wa mikato ya visu na viwembe hawawezi ku-afford so sina shaka na usalama wake!!!!
Shughuli itaanzia kwa mwenye basi mwenyewe atakapoingia tamaa ya kupakiza watu wengi kuliko idadi ya viti, na hapo itabidi hizo screen zihamie stoo, then afanye modification ya viti kibongox2..
Post a Comment