ANGALIA LIVE NEWS
Wednesday, July 2, 2014
STENDI KUU MPYA YAFUNGULIWA JIJINI MBEYA
Wakazi wa jiji la Mbeya wamejitokeza kwa wingi katika stendi kuu mpya iliopo eneo la nane nane RRM kwaajili ya kuomba maeneo ya kufanyia biashara zao katika eneo hilo.
Wageni kutoka mikoani mnataarifiwa kua stendi kuu ya jiji la Mbeya kwa sasa ipo eneo la nanenane (karibu na Uyole) na si mjini soko matola tena kama iliyokuwa hapo awali,lakini si wa mikoani tu bali hata baadhi ya wilaya za jiji la Mbeya.
Hivyo ukifik jijini Mbeya usishangae kuambia kuwa basi linaishia hapo eneo la Nane nane,kwani ndipo ilipo Stendi Kuu mpya kwa sasa na siku zote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Huu ujenzi wa standi zetu unashangaza sana, kwa kutojali hali ya abiria.stendi zote mpya zinazofunguliwa hazina hata vibanda vya kumkinga abiria kwa jua au mvua-not user friendly at all..
Post a Comment