Advertisements

Friday, July 25, 2014

TANZANIA HEROES DAY 2013 AT KABOYA, BUKOBA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Mkoani Kagera katika Kambi ya Jeshi la Wananchi Kaboya Wilayani Muleba.

Kumbukumbu ya Mashujaa huadhimishwa kila mwaka jana Julai 25, 2013 ambapo mashujaa waliopigana vita katika kuikomboa nchi kutoka katika utawala wa wakoloni au kuikomboa nchi yao na wavamizi kama Nduli Idd Amini.

Katika kuadhimisha siku hiyo ya Mashujaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu alisema Mashujaa wote waliopoteza maisha yao watakumbukwa na taifa na kuenziwa milele.

Pia wale walio hai serikali itaendelea kuwajali na kuwatunza ipasavyo.

Sherehe hizi mwaka huu zinafanyika asubuhi hii katika Bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, eneo la Mnara wa Mashujaa
.Credit:GPL

No comments: