TASWIRA ZA MILIPUKO YA BOMU ARUSHA, TANZANIA NA LAMU, KENYA
Picha ni Wanajeshi wa JWTZ na waandishi wakiwa sehemu ya tukio jijini Arusha
Polisi wakisaidiana na wanajeshi wa JWTZ waiwa sehemu ya tukio jijini Arusha
Mmoja wa majeruhi wa bomu Arusha akiwa Hospitalini.
Mlipuko mwningine wa bomu uliotokea Lamu nchini Kenya siku ya Jumanne July 8, 2014 bado haijajulikana kama kuna uhusiano wa hiyo milipuko Kenya na Tanzania mpaka sasa hivi hakuna kikundi chochote kilichadai kuhusika na milipuko hiyo na watu wawili wanashikiliwa na polisi jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment