ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 15, 2014

UBINGWA MTAMU SANA HASA WA KOMBE LA DUNIA

Wapenzi wa mpira wa miguu wakiwa sehemu maalum ya Brandenburg Gate tayari kwa kuwapokea mashujaa wao waliofanya kweli huko Brazil na kunyakuwa kombe la dunia kwa kihistoria. Timu ya taifa ya Ugermany iliifanyia kitu mbaya sana timu ya wenyeji wa kombe la dunia Brazil kwa kipigo kilichosababisha maumivu yasiyosahaulika kwa wapenzi wa timu hiyo ya Brazil na wananchi wake.
Full shangwe na usalama imara kama simba siku moja Tanzania wakija kuwa mabingwa wa dunia mambo yatakuwa zaidi ya hivi tuombe na kufunga 

No comments: