Mimi Juma Mkuu Ninamu endorse Iddi Sandaly For President.
Iddi Sandaly Amekuwa ni Mfano Bora kwa Jamii yetu ya DMV. Amekuwa pamoja na Vijana kama mimi, Watoto na wazee. Anamuheshimu na kuongea na Kila mtu. Hana makuu na mpenda watu.
Naomba vijana Woooote na Wazee Wangu Mumpe Kura Zenu za Ndio Iddi Sandaly
Iddi Sandaly Anasema:
DMV KWANZA
No comments:
Post a Comment