Jopo la Uongozi wa Kikao hiki cha SADC hapa Botswana Phakalane Golf Estate Hotel.Mawaziri
Kutoka Tanzania,Kuanzia kushoto ni Mh:Mwigulu Nchemba Naibu Waziri wa
Fedha(S),Mh:Marry Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Ofisi ya Waziri
Mkuu na Mh:Abdallah Kigoda Waziri wa Viwanda na Biashara wakijadiliana
jambo kwenye Ukumbi wa mkutano wa SADC hapa Gaberone-Botswana.Sehemu
ya ujumbe wa Mawaziri wa Fedha,Biashara na Uwezeshaji kutoka Nchi
mbalimbali za SADC wakiendelea na Majadiliano kuhusu Uwezeshaji wa
Kifedha ndani ya Jumuia hiyo.
Maamuzi na Majadialino ya
Pamoja yakiendelea kwa Wajumbe Watatu Kutoka Tanzania kwenye Kikao cha SADC hapa Gaberone.
Pamoja yakiendelea kwa Wajumbe Watatu Kutoka Tanzania kwenye Kikao cha SADC hapa Gaberone.
Mkutano unaendeleaMh:Marry Nagu Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,akijadiliana jambo na Mh:Mwigulu Nchemba. Mkutano
huu wa SADC Umekutanisha Wizara tatu tofauti,Wizara ya Fedha,Bishara na
Uwekezaji.Agenda kubwa inayozungumziwa hapa ni Kuiwezesha Jumuia hii ya
SADC Kifedha iwezekufanikisha baadhi ya miradi ya maendeleo katika Nchi
wanachama.Pia Kuondoa Vizuizi kwaajili ya Kuruhusu Biashara huria.Hawa ni Wataalum kutoka Tanzania waliofika pamoja na Mawaziri kwaajili ya mkutano huu wa SADC.Ujumbe kutoka Namibia ukifurahia jambo kwenye Mkutano huu wa SADC.Mwenyekiti wa mkutano huu akijadiliana jambo na katibu wake.
Gaberone-Botswana.
SADC
imefanya mkutano wake uliojumuisha sekta tatu tofauti,Fedha,Biashara na
Uwezeshaji nchini Botswana Mji wa Gaberone,Mkutano ulioanza
Tar.11/07/2014 na kumalizika hii leo Tar.18/07/2014.
Tanzania
katika mkutano huo imewakilishwa na Mawaziri kutoka Hazina(Mh:Mwigulu
Nchemba),Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Ofisi ya Waziri Mkuu Mh:Marry
Nagu na Waziri wa viwanda na Biashara Mh:Abdallah Kigoda.Mkutano huu wa
SADC Umejikita kwenye majadiliano ya kufikia makubaliano ya kuanziasha
kwa biashara huria na kuondoa vikwanzo mf.Ushuruwa forodha n.k.(Boosting Inter-African Trade-BIAT).
Pia kuanzishwa kwa mfuko wa kifedha utakaowezesha jumuia ya SADC kuendesha miradi yake ya maendeleo kwa ufanisi katika Nchi wanachama wake.Agenda ya kuanzishwa kwa mfuko wa kifedha ilianza kujadiliwa kwenye kikao cha SADC Kilichofanyika Maputo-Mozambique mwaka 2012 na 2013.
Picha/Maelezo na Festo Sanga
Gaberone-Botswana.
Pia kuanzishwa kwa mfuko wa kifedha utakaowezesha jumuia ya SADC kuendesha miradi yake ya maendeleo kwa ufanisi katika Nchi wanachama wake.Agenda ya kuanzishwa kwa mfuko wa kifedha ilianza kujadiliwa kwenye kikao cha SADC Kilichofanyika Maputo-Mozambique mwaka 2012 na 2013.
Picha/Maelezo na Festo Sanga
Gaberone-Botswana.
No comments:
Post a Comment