ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, July 8, 2014

UJUMBE WA WEMA SEPETU KWENDA KWA MAMA MZAZI WA DIAMOND PLATNUMZ


Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari  zilidai mama Diamond hamkubali Wema bali anamkubali VJ Penny. 
 
Sasa basi  jana ilikuwa  ni birthday ya mama Diamond ambapo Wema ameweka picha katika mtandao mmoja wa kijamii akiwa  amekumbatiana  na  mama  Diamond  kuonyesha  kuwa  hakuna  ugomvi  tena  kati  yao.....

Picha  hizo  ziliambatana  na  ujumbe  huu:

"today is this amazing woman's birthday...naanzaje kutokumpenda na kumtakia kila lenye kheri mama'ngu kipenzi ...Mungu akutangulie mummy....akuweke na azidi kukufungulia milango ya baraka mzaa chema wangu.....love you mama'ke"

5 comments:

Anonymous said...

lazima ajipendekeze ukipenda boga lazima upende na uwa lake.

na wema kwa kujipendekeza ndo kafika hapo lazima mama mpende kwa mazawadi zawadi

Anonymous said...

utajiri mzuri wewe enzi za zamani hata alikuwa anasherehekea hii birthday

Anonymous said...

Wema msanii sana, endelea kujipendekeza my dear

Anonymous said...

Ama kweli Maisha yamebadilika. Zamani mama mkwe hupewa heshima yake. Uliona wapi anakumbatiwa namna hiyo? Tusiige mila za kizungu jamani.

Anonymous said...

wacha za kishamba wewe anonymous wa mwisho eeti mama mkwe hakumbatiwi kwa nini?kukumbatiwa ni mila zakizungu? acha ushamba weko wewe unaonekana huna mapenzi ya kukumbatiwa wala kukumbatia si ajabu