Advertisements

Saturday, July 12, 2014

UKUMBI WA UCHAGUZI DMV


6 comments:

Anonymous said...

Jamani kuna watu tunaingia makazini saa kumi jioni tunaomba mtusaidie tu cast vote zetu mapema tafadhali sana maana ni wana jumuiya na tunahaki ya kupiga kura

Anonymous said...

Absentee ballot vipi TUKO DUNIA YA KWANZA HUKU!

Anonymous said...

Summer time hii tunasafiri tunataka absentee,it is our right

Anonymous said...

Kama kazi imechachamaa, it is alright, wewe nenda kazini tu, this is not a big deal, hatumchagui rais wala mbunge hapa, tunachugua watu fulani waweze kuuza sura ubalozini. Absentee ballots, za ninin? Ovyoo...

Ushauri wangu kwa kamati, lazima kuwepo na security, maanake kuna bishoo fulani wameguka wababe, they are looking for soft target ili waonyeshe ubabe.

Anonymous said...

Hivi DMV mtakua lini?: Yaani wengi mko miaka inakaribia arobaini ila buree tuu! Wakiwaona makanisani na misikitini utafikiri mnasali kweli kumbe mmebeba vijinamizi ndani yenu! Hasara kweli. Kweli ninyi ndio mlioshindikana Tanzania. Na mbaki huko huko.

Anonymous said...

Wewe mwandishi wa mwisho ni ccm au hukusoma absentee vote ni kitu cha kawaida katika dunia ya kwanza hatukupaswa hata kuuliza.tume ya uchaguzi tume basi ni bora ingeitwa tume Ya" idd" wanaburuzwa