ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 7, 2014

WANANCHI WA NINDI LUDEWA WAMIMINIKA KAMA NJUGU KATIKA HARAMBEE YA KUPELEKA UMEME KIJIJINI HAPO



Umeme Nindi, Ludewa: Wananchi wa kijiji cha Nindi kata ya Lupingu wilayani Ludewa wakikusanyika katika harambee ya nguvu kazi ya kupeleka Umeme kijijini hapo kwa kushirikiana na Mbunge wao Deo Filikunjombe.  Picha na Daraja Letu

No comments: