ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, August 6, 2014

ALIKIBA LIKE NEVER BEFORE

3 comments:

Anonymous said...

aisee sijawahi kusikia interview nzuri kama hii,sporah umechokonyoa sana ally lakini jamaa yuko fit, fresh na very smart kichizi.mimi ni fan wa diamond lakini kwa ustaarabu wa jamaa huyu yani nimevulia kofia,he is truly a musician,anajikubali na namkubali.
kweli kizuri kikiwa hakipo kibaya kina jitangazaaaa.
kijana hana maringo,hana majisifu kama tunavyo waona wanamuziki/mana filamu wengine. yani nimetokea kumpenda vibaya sana kwa ustaarabu na tabia yake,ni binadamu mwenye utu wa hali ya juu.
japo kuwa ni fan wa diamond lakini nimevua kovia kwako ally kiba ni kijana mstaarabu sana na mwenye utu wa hali ya juu I will say this again and again.Una ustaarabu wa hali ya juu na utu wa hali ya juu and very smart indeed. and you will go far away in life man for really.
wewe ndo unatakiwa uwe super star wetu.
nakuombea kila dua njema na nawapa hongera sana wazazi wako kwa kukulewa vizuri.

all the best Ally kiba.

Anonymous said...

I love him very much I wish to have a man like him, he is so clever and humble, and I like his music too. kiss for him mwaaaaa!!!!

Anonymous said...

duniani kungekuwa tuna wanaume kama kumi kama huyu basi dunia ingekuwa ni sehemu ya furaha kubwa sana.
mungu akubariki sana ally kiba na family yako yote amen