Saturday, August 16, 2014

BABA NA MWANA WAPATA CHAKULA PAMOJA.

 Seche Tom na Stev Tom baba na mwana wakipata dinner ya mchana kama walivyokutwa na kamera ya Vijimambo kwenye mgahawa wa kijiji cha Swahili siku ya Jumamosi mchana Aug 16, 2014 Stev anaishi Massachesetts alikuwepo DC kwa ujio maalum kwa kumchukua manae kurudi nae Boston, Massachusetts.



1 comment:

  1. Oh Mwalimu mwenzangu dada CECE! nimefurahi kukuona. Asante sana kwa kufundisha watoto wetui Kiswahili hapa DMV. Ninakutakia maisha mema Boston.
    Mama Briana

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake